Sababu za Dogo Janja Kuvua Nguo zake Zote Kwenye Nyimbo yake Mpya Angalia Hapa | East Africa Gossip

Sababu za Dogo Janja Kuvua Nguo zake Zote Kwenye Nyimbo yake Mpya Angalia Hapa


Hakuna ubishi ni ubunifu uliotukuka; Msanii wa muziki wa Hip Hop hapa Tanzania, Dogo Janja kupitia video ya wimbo wake mpya wa IMANI ameonekana akivua nguo zote na kuvaa majani ya migomba.

Video hiyo iliyoachiwa masaa 19 yaliyopita mtandaoni, tayari imepata views zaidi ya elfu laki moja na wimbo huo umetokea kuwavutia mashabiki wake karibia wote waliotoa maoni yake.

Kichupa hicho kimeongozwa na Director Yoel Mrisho na Producer ni Genius, tazama kichupa hicho hapa chini.

Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA


0 Response to "Sababu za Dogo Janja Kuvua Nguo zake Zote Kwenye Nyimbo yake Mpya Angalia Hapa"

Post a Comment