Usishangae ukamsikia Darasa tena kwenye maskio yako au hata kumuona kwenye Tv hivi karibuni,mashabiki wengi wamekuwa na maswali kuhusiana na kutoonekana kwa Darasa kwa muda mrefu na kutaka kujua anafanya nini kwa sasa.
Inawezekana video clip hii ikawa ndio jibu tosha kwa maswali ambayo umekuwa ukijiuliza, ikiwa video clip hiyo imemuonyesha Darasa akiwa na mtoto na wengi kudai kuwa ni mtoto wake ukiachilia mbali na hilo kuna mdundo mkali umehusika kwenye video clip hiyo.
Mdundo huo haujawahi kuskika kwenye ngoma ambazo Darasa amewahi kuziachia kipindi cha nyuma na hivyo imesadikika kuwa ni kidokezo tu cha ujio wa ngoma mpya ya Darasa.
angalia video hapa chini
angalia video hapa chini
Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA


0 Response to "Hatimaye Darasa Ameibuka Tena Saa Mambo Ni Moto shuhudia Mwenyewe Hapa"
Post a Comment