Jamaa kila akilala na Mwanamke anapata mapacha watatu Aeleza Jinsi Anavyofanya | East Africa Gossip

Jamaa kila akilala na Mwanamke anapata mapacha watatu Aeleza Jinsi Anavyofanya


Leo September 27, 2018 Nakukutanisha na Bahati Thadeo ambaye ni Baba wa watoto 11 anayeishi Kata ya Murieti Arusha ambapo amezungumza na AyoTV na millardayo.com nakuelezea kuwa kila anapolala na Mwanamke akibahatika kupata ujauzito anazaa Watoto mapacha watatu.

Thadeo katika mahojiano amesema saivi anapata tabu kuwalea watoto wake kwani kipato chake ni duni.Angalia Video Hapa chini

Bonyeza Picha Hapo chini Kudownload App Ya Usiku wa Mahaba Uweze Kujiunga na Magroup ya WhatsApp Ya KIkubwa Utasoma Simulizi Tamu na Kujifunza Jinsi ya Kumridhisha Mpenzi wako Bonyeza Picha Chini au HAPA


0 Response to "Jamaa kila akilala na Mwanamke anapata mapacha watatu Aeleza Jinsi Anavyofanya"

Post a Comment